Sunday, March 31, 2013

NAPENDA KUWATAKIENI PASAKA NJEMA NA YENYE AMANI NA BARAKA TELE....!!!!

Ni PASAKA LEO..Je unajua pasaka ni nini? angalia hapa chini:-
P-Pokea
A-Amani
S- Sasa
A- Ambayo
K- Kristo
A- Ametupa-
Mungu awatangulie katika PASAKA HII. AMANI IWE NANYI. AMINA- PASAKA NJEMA KWA WOTE.

5 comments:

Anonymous said...

Pasaka njema kwako na familia yako.

Shalom said...

Pasaka njema kwako pia dada.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina nawe iwe njema na yenye baraka.
Shalom! Ahsante iwe njema kwako pia

Simba Deo said...

Heri tele za PASAKA. Kila mmoja wetu na awe chombo cha kuleta amani, matumaini na upendo. Tukizingatia hili, basi dunia itakuwa mahali bora zaidi pa kuishi na kumtukuza Mungu. Familia yako, marafiki, majirani, wafanyakazi wenza na wadau wote katika uwanja huu wabarikiwe sana. Amina.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Pasaka njema...ila hapo kwenye K ingekuwa KIKWETE!!!!

Pamoja sana!