Monday, March 25, 2013

KAPULYA HAKUSANYI SCALF TU HAPANA MAWE NA BIRIKA PIA..

 Hapa ni aina mbalimbali za rangi za mkusanyiko wa SCALF(HALSDUKAR) zake..hapa ziko zaidi ya 30....katika mwezi kila siku natumia moja :-)
 Halafu ana mtindo wa kukusanya MAWE kila sehemu anayokwenda/nchi anayokwenda anaporudi anarudi na jiwe...halafu..
 
....kwa vile kapulya ni mnywaji sana wa chai basi anapenda sana BIRIKA hapa ameanza tu kukusanya birika...je na wewe msomaji kuna kitu ambacho unakusanya?


4 comments:

Said Kamotta said...

Huo ni mfano mzuri wa kuigwa, nimefurahi kuona na kujua namna watu wanavyoishi kutokana na mambo wanayoyapenda na kuishi kwa kukusanya mawe na birika kama vitu wanavyovipenda. Mimi binafsi huwa kila mahali niendapo nabeba "diary na note book" kwaajili ya kurekodi mambo yote muhimu niliyofurahi kuyafanya kwa siku hiyo. Kuishi kwa falsafa hii naifananisha na falsafa ya "LAW OF ATTRACTION" ambayo husisitiza watu kuishi kwa kupenda na kuwa karibu na vitu wapendavyo.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka said! Nimependa mkusanyo wako sana
Huwa nafanya hivi pia ila mara chache. Safi sana
Ni mtindo wa kuigwa kwa kweli

ray njau said...

Hapa ni kipaji cha mtu na hongera ni kwake kuweza kuwa mbunifu ndani ya ubunifu katika dunia ya wabunifu.

Yasinta Ngonyani said...

Ray ...Ni ubunifu hasa:-)