Friday, December 16, 2011

HUU NI UJUMBE WA IJUMAA YA LEO!!


NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA SANA NA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA..PIA WOTE MNAPENDWA!!

8 comments:

Mfalme Mrope said...

Nawe pia na familia dada yangu. Daima pamoja...

ray njau said...

For because of abundance [of occupation] there are dreams, and there are vanities and words in abundance. But fear the [true] God himself._Eccl 5:7

Swahili na Waswahili said...

Ijumaa njema na familia yako pia.

Mija Shija Sayi said...

Si uongo kabisa Yasinta, ujumbe wa leo ni nguvu tosha ya kutufanya tusonge mbele..

Ubarikiwe wewe utakayepitia hapa kwa dadangu Yasinta.

SIMON KITURURU said...

Mmmmh!Nawe pia Yasinta!

SIMON KITURURU said...

Duh! Vitendo lakini vitendo katika hili liujumbe maana MAUJUMBE saa nyingine bila kuyafanyiakazi hubakia kuwa maneno tu na sio UJUMBE.Naendelea kuwazishwa na UJUMBE!

emu-three said...

Na wewe ijumaa njema na wikiend njema,UNAPENDWA PIA

ray njau said...

Kutakiana wikiendi njema ni jambo jema sana wadau wa kibaraza cha maisha na mafanikio.Kwa ujumla nawatakieni wikiendi njema na kila jambo lenye wema liwe ni sehemu ya maisha yenu kifamilia.
Asanteni sana na kwaherini!!