Tuesday, December 13, 2011

GHAFLA NIMEJIKUTA NATAMANI NYUMBANI NILIPOKUWA NASIKILIZA WIMBO HUU AMBAO MANENO MACHACHE NI KWA LUGHA YA KINGONI!!Kweli kuwa mjini bila pesa hakuna maisha ...bila maganga pabomani ulanga sana.... pia wanaimba kwamba usiwe na tamaa kama huna hela ....

4 comments:

Swahili na Waswahili said...

Ahsante dadake kwa kibao Muruwaaa,hivi hawa bado wanafanya Muziki au niwimbo wa zamani?

Yasinta Ngonyani said...

Karibu sana na hasa kama umeburukika kweli...Kusema kweli mimi nilikuwa natafute nyimbo za kingoni ndo nikakutana na huu ila ni maneno machache tu kwa kweli naipenda sana lugha yangu ya asili. Kwani ww unawafahamu?

John Mwaipopo said...

muziki ni kitu kinachoweza kukukumbusha nyuma kwa haraka sana na ukahuzunika ama kufurahi na pengine kutoa mchozi ama wa raha ama wa huzuni. naambiwa zinafuatia picha. burudika mwanakwetu.

Swahili na Waswahili said...

Da'Yasinta nawakumbuka hawa waliimba nyimbo moja hivi inaitwa Nung'aEmbe