Saturday, December 17, 2011

MANENO YA BUSARA AMBAYO NIMEAMBIWA ....

Moja ya furaha si lazima kwa yule ambaye ana kila kitu, lakini anaweza kuwa mmoja ambaye anajua jinsi ya kufanya kwa ubora kila kitu kilicho karibu yake.
.............JUMAMOSI NA JIONI NJEMA KWA WOTE...

3 comments:

Swahili na Waswahili said...

Asante kwakutushirikisha,J'mosi iwe njema nawe na familia pia.

Goodman Manyanya Phiri said...

"...kwa kuwa madhumuni ya maisha sio kuridhika, bali ni ile safari tu kuelekea kwenye radhi."

Kama huamini: angalia jinsi watu wenye mapesa mengi wanavyotumia madawa ya kulevya AU KUIBA PESA ZA ZIADA! Na unabaki wewe maskini mwenzangu unashangaa:

Yanini yote haya matatizo wakati wale watu wanacho chote kile mie maskini ninachowania?

Busara zaidi kwako, Yasinta!

Mija Shija Sayi said...

mmmmh..