Tuesday, December 6, 2011

MIMI NAAMINI ANAYETAFUTA ATAPATA ANCHOTAFUTA/ANAYEULIZA ATAPATA JIBU!!

Nimelipenda swali hili: "Jamaa aliniuliza hivi; Bro hebu nijibu swali hili....au waulize hata wana blog wenzio wa kiume; Ni kweli supu ya pweza huchajisha?
- Mimi kwakweli sijui swali hili kulijibu." swali/maelezo kutaoka hapa.


6 comments:

emu-three said...

Supu ya pweza, sijui hebu kidogo nikipata nafasi nitaweka maoni yangu. Tupo pamoja ndugu yangu

isaackin said...

naskia hii kitu ukiipata saa limoja kabla ya kufanya mtanange inakua balaa,nimeona huko mtaani mida ya jioni watu wamepanga foleni km kwa babu loliondo wakipewa kikombe.kwenye picha hapo namuona huyo mdada sasa sijui labda tuulizane kumbe na nyie mnachajisha?sasa mkikutana wote mmetoka kuchaji full full si mtasababisha cheche.

Simon Kitururu said...

Mimi kwangu haijaongeza kitu wala kupunguza kitu. Mie naamini hayo ni mambo ya kisaikolojia na Placebo effect tu.

Ndio nilisha jaribu hii kitu kwa dhumuni la kusikilizia utofauti katika kufaidi nanihii!:-(

Baraka Chibiriti said...

Ha ha ha haaaa....Dada Yasinta ni heri umeileta mada hii hapa kwako, maana kuna wachangiaji wengi, labda jamaa atapata jibu kamili.

Simon Kitururu said...

@Mkuu Baraka Chibiriti:Tatizo ni kuwa MTANDAONI kila JIBU lipo kiulitakavyo kitu kifanyacho hata kama jibu ni ´´HALIMA`` ukiwa unadhani jibu ni ´´KHADIJA´``utakutana na wadaio kihoja jibu ni ``KHADIJA´´

Mtandao nishai kwa kuwa lolote lipo na utundu ni kustukia USAHIHI wa KITU la sivyo hakuna jibu MTANDAONI!

ray njau said...

Pweza ana utamu wake na wakazi mwa mwambao hii burudani tosha.Haya mambo ya kufikirika ni hiari ya moyo na huwezi na acha kila mdau atumie uhuru wake.
-----------------------------------
Angalizo:-
Staha na heshima katika ngono ni nyenzo muhimu katika maisha ya ndoa ya familia.