Saturday, December 31, 2011

KHERI KWA MWAKA MPYA 2012!!

Marafiki wapendwa!

Wacha mwaka mpya huu ulete mafanikio, amani, mwanga na furaha ndani ya maisha.....

Nakuombea wewe na familia yako furaha na mafanikio. KATIKA MWAKA MPYA 2012.

KHERI SANA KWA MWAKA MPYA 2012. KAPULYA!!!

11 comments:

ray njau said...

"MAISHA NA MAFANIKIO BILA MIKIKIMIKIKI".

chib said...

Kila la heri na kwako pia

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante sana, Kipenzi! Ubarikiwe nawe hivyohivyo kwa mwaka mpya!

EDNA said...

heri ya mwaka mpya mdada.

mumyhery said...

shukran heri ya mwaka mpya nawe pia

serinaserina said...

Gott nytt år och God förtsättning vännen!

Upepo Mwanana said...

Heri ya mwaka mpya na kwako pia

ray njau said...

Asante sana wadau na wanafamilia wa kibaraza cha maisha na mafanikio kwa utendaji mahiri na makini kwa mwaka 2011.Ushirikiano wenu katika kudadavua mada za mama wa maisha na mafanikio ni ithibati tosha ya utendaji maridhawa kwa mwaka 2012.
Namsihi mama maisha na mafanikio asikate tamaa na badala yake awe mbunifu zaidi katika kukidhi kiu ya wadau wake.
Mazoea aliyowajengea wadau wake yanapaswa kudumishwa bila kukatizwa.Na endapo kwa sababu za kibinadamu kutakuwa na mapungufu umma upewe taarifa.

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi kuwashukuruni wote kwa upendo, ushirikiano ambao badala ya urafiki umekuwa undugu. Mwenyezi Mungu na awabariki na azidi kuwapa nguvu na awasimamie kila upande. Na pale tutakapopindapinda basi tusisite kunyushana kwani ndio ubinadamu na pia ni ndani ya maisha na mafanikio. KUMBUKA HAKUNA KISICHOWEZEKANA. PAMOJA DAIMA

Anonymous said...

Hey there! I'm at work surfing around your blog from my new iphone! Just wanted to say I love reading through your blog and look forward to all your posts! Carry on the outstanding work!
Take a look at my site - pizza games cooking online

Anonymous said...

Towагds thе end of the carеss, the Acupuncturiѕtѕ in California which has the
largest рopulation anԁ oldest tantгіc
massage ѕchοοls, merely a fistful of them are golden
еnοugh to be conducting inquiry.

Also visit my blog web page