Friday, December 30, 2011

IJUMAA NJEMA:- HII ITAKUWA PICHA YA KUFUNGIA MWAKA 2012!!!

Kabla mwaka 2011 haujaisha/haujafikia tamati nimeona picha hii iwe ya kufungia mwaka kwa blog ya MAISHA NA MAFANIKIO. Pia nachukua nafasi hii kusema mawili matatu kuwa mwaka huu umekuwa na matukio mengi mazuri na mabaya lakini hata hivyo sina budi kusema NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU kwa yote. IJUMAA NJEMA!!!

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Sasa huu ndo tunaouita Ugali wa kukata na shoka... Nimeipenda picha hii Yasinta.

Ubarikiwe.

Anonymous said...

wapi hii

chib said...

Kama hapo ndio umeenda ukweni, nafikiri hautarudi tena, panga ndani ya ugali duh!!