Wednesday, March 16, 2011

SASA NI MUDA WA CHAKULA CHA MCHANA.......

Karibuni chakula jamani....

19 comments:

Simon Kitururu said...

Nguna imetulia vizuri kweli hiyo!

Juisi ya ukwaju ipo?

Anonymous said...

Bonge la ugali,huo lazima utakuwa wanyumbani tu, usukumani/unyamwezini, mija upo hapo? hapo ungeweka na tumaziwa twa mgando ,mayuwane mbona panakuwa hapatoshi. kaka s.

Unknown said...

Kitu cha dagaa...hao ni wa mwanza au!!

HALAFU ACHA KUTUTEGA MAANA TUNAWEZA FIKA HUKO KUPITIA FIBRE.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Nitakutumia juisi ya ukwaju @Mt. Simon


Dah! bonge la nguna! Dagaa kusherehesha maneno!

emu-three said...

Dadangu unanitamanisha manake tangu asubuhi napiga chai, ...TUPO PAMOJA!

Yasinta Ngonyani said...

Mt.Simon Juisi ya ukwajiu wala usiwe na shaka:-)

Kaka.S! Patatosha tu. Mija ebu jitokeze basi hapa.....

Kaka Macharia Yaani haswa hawa dagaa ni wa huko Mwanza. Na wala usiwe na shaka we kuja na tumbo wazi na utarudi na gukitambi gwa aina:-)

Chacha!!Ha ha ha Kumbe utanisaidia na Juisi ya ukwaju sio safi sana. Kama niliwahi kusikia huli samaki je unakula dagaa? lakini hakuna shida kuna kachumbali...lol

emu3!:-) pole kwa kukutamanisha

EDNA said...

Duuh,mate yananidondoka,hicho ki2 adimu sana.

Unknown said...

Duuuh iyo menu imenikumbusha ugali wa bongo,yani nimeumiss kweli hadi nimemiss ghafla

PASSION4FASHION.TZ said...

Eti mpaka nasikia harufu ya dagaa...lol

Rachel Siwa said...

Hapo aliyekuwa hauyupo na lake halipo!!watu tuna njaa bwana nani kamwambia akacheze mbali?
@Da yasinta leo tutashiba kwa macho humu, asante sana kwa kututega!

chib said...

Kwa wale tunaodandia chakula kwa mama ntilie wa mitaani mbali na home... du, inabidi tunadake mate kabla hayajadondoke kwenye key board!!

malkiory said...

Umenikumbusha mbali kweli!

Fita Lutonja said...

Du!! Umenikumbushia mwanza kwa mama yangu kipenzi Prisca, yaani hawa dagaa nilikuwa nawala mpaka tumbo linakuwa ndindindindi!! na ndondondo!!

Yasinta Ngonyani said...

Edna! Si utani ni kitu adimu sana kwa hiyo ukikipata inabidi ugawane na wenzako ndo maana nimefanya hivyo:-)

s & k! Vyakula vya nyumbani ni vitamu sana.
PASSION4FASHION.TZ! kama ni hivyo we nawe maji tu hiyo mikano na ukaribia tujumuike...
Rachel! Basi kama una njaaa kubwa ndo vizuri kwani hutarudi njaa hapa na Rachel sijawatega:-)

Chib! una sababu ya kudondosha mate ni kuutwanga tu mpaka unashiba...
Jirani yangu MM! Nafurahi kama umepata kumbukumbu :-)

Fita! Umenichekesha kweli kushiba ndindindi:-)

Salehe Msanda said...

ASANTE!

Yasinta Ngonyani said...

Karibu sana kaka Salehe !!

Mija Shija Sayi said...

Huo ugali Yasinta!! Na hizo dagaa na kachumbali..., kwanza kabla ya yote naomba kuuliza ni kazi ya mikono ya nani?

isaackin said...

hapo maji ya kiroba ya hamsini basi,mchuzi mate.no steress

Sara Chitunda said...

Asante sana unanitamanisha hadi mate yanidondoka