Tuesday, March 22, 2011

Tanzania:- Baadhi ya wanamuziki wa Five Stars wafariki ajalini




Nawatakia nafuu na afya njema majeruhi na kuwaombea wapone haraka.
Pole kwa wote waliofikwa na msiba huu.
Roho za marehemu zipumzike pema.

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Poleni, aiseee!

Anonymous said...

Jamani inasikitisha sana kwakweli,
Mungu awalaze mahali pema peponi.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

RIP kijoti na wenzako!

Nawatakia nafuu na kupona haraka kwa Mwanahawa Ally na wenzako!

Yasinta Ngonyani said...

Pole wanandugu, pole jamii yote ya Tanzania marehemu wastarehe kwa Amani peponi na nawatakia majeruhi wote wapate nafuu kwa haraka.