Picha hizi nimetumiwa na kaka yangu wa hiari Shabani Kaluse na katika picha hizo kuna shangazi yangu wa hiari mwanaye Kaka Shabani ni huyu kijana mwenye T-shirt nyekundu. Anaitwa Abraham.
Alianza huyu.....
Kisha huyu.....
Baadaye mweh....
Weweee..toka hapa
Subiri weweeeeeeeeee...
Ngoja tupige picha ya pamoja...
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA PIA TUTAONANA WAKATI MWINGINE!!!!!
9 comments:
Wacha wee,watoto wanakula kiduku kama kazi safisana.pia wakati naangalia picha hii ya watoto hawa wa ktanzania,kunawazo limeniijia,nalo lina husu amani,ukiwaona hao watoto jinsi wanavyo cheza na kufurahi, ni ushahidi tosha kuwa amani ni muhimu sana ili tuwe na watoto wanao weza kucheza kiduku bila wasiwasi.kaka s
Poa sana!
Kiduku oyeeeee! jumamosi njema kwako pia mdada.
Safi sana, Yasinta hivi hata mtoto wa kiume unaweza mwita shangazi?
natamani kucheza kiduku lakini siwezi.
anon unataka kututoa kwenye mjadala wa kiduku kiujanja.
hahaha Abraham mmhhh jamani mbona umeganda hapo kwa vidada wewe uchezi?
Na yule mfupi kuliko wote ndie anacheza kuwashinda wote. Nani alisema SIZE COUNTS?
Picha ya wiki inayohusiana na kiduku aliyokutumia kaluse ina somo la kaubunifu kwa hao watoto changamoto iliyopo ni jinsi gani sisi watanzania tunashiriki kwa mtazamo chanya katika kukuza au kuwafanya watoto wetu wawe wabunifu. Ninachokiona tuliowengi tunachangia katika kuua ubunifu unaonyeshwa na wanantu.
Je kuna lolote la kujifunza kupitia kipindi hiki cha kwarezima kwa sisi watanzania?
Kila la kheri na bigup.
Ahsanteni wote kwa kutoa mchango wenu mzuru . watoto ni viumbe visivyo na aibu wanabuni mambo mengi sana.
Post a Comment