Saturday, August 1, 2009

UJUMBE WA LEO

KISWAHILI:- Ulijua ya kwamba.....
......katika maisha ya binadamu nywele zinaota 760 cm?

KISWIDI:- Visste du att......
......håret växer 760 cm under ett människoliv?

KISWAHILI:- Ulijua ya kwamba.....
......kuna aina 2200 za mbu Sweden na 30000 ulimwenguni kwote?

KISWIDI:- Visste du att....
....det finns 2200 olika arter mygg i Sverige och över 30000 i hela värden?


.

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mi sikujua.

Unknown said...

Nahisi neno Mygg kwa kiswahili ni Mmbu.............

Yasinta Ngonyani said...

Mtani Fadhy sasa unajua !

Kaka Shabani umepata kabisa