Thursday, August 13, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA, MJOMBA, SHEMEJI PHILOTEO NGONYANI

Huyu ni kaka yangu mdogo na wa mwisho katika kaka zangu watano, jina lake Philoteo. Leo ni siku ile ambayo huyu kijana aliyaanza maisha yake. Ni siku aliyozaliwa. Kwa niaba yake napenda kumshukuru Mungu kwa kumlinda mpaka siku hii ya leo na kuongeza miaka zaidi.

8 comments:

Anonymous said...

Hongera kaka yetu kwa siku ya kuzaliwa,nakutakia kila la heri katika maisha yako!!

Fadhy Mtanga said...

Nakutakia maisha marefu yaliyojaa furaha, amani na mafanikio.

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy birthday kaka.

Nicky Mwangoka said...

Hongera zake, na kila la Kheri Kaka yetu

Simon Kitururu said...

Nanukuu, ''Hongera kwa kuzaliwa KAKA, MJOMBA , SHEMEJI.....''.

Kichwa cha habari kina taarifa nyingi kidogo na mtu usipoangalia utachanganyikiwa!:-)

Hongera kwa kuzaliwa Mhusika!
Tuko Pamoja!

Koero Mkundi said...

Hongera kaka yetu kwa kutimiza miaka kadhaaa..... uwe na maisha marefu

MARKUS MPANGALA said...

Philo.......upo kaka???? mambo ni vipi mwanakwetu??? Nakupongeza sana.... natuma salamu zangu kwa umpendaye..... aaaah nilisahau hivi umeshafunga naye ndoa au unabeba tu kibingwa kaka? nadhani tuko pamoja ila angalia sana dunia mbovu siku hizi au vipi.
PAMOJA DAIMA

Yasinta Ngonyani said...

Nawashukuruni wote kwa kumpongeza kakangu mdogo. Nami nasema tena HONERA SANA.