Sunday, August 2, 2009

JUMAPILI NJEMA JAMANI


Napenda kuwatakia wote jumapili njema wote. Wuwe na wakati mzuri wa mwisho wa wiki.

10 comments:

Nicky Mwangoka said...

Asante kwa matashi mema ya Jumapili. Nawe uwe na siku njema. Naona upobusy kutuandalia mambo swaaafikwenye blog wiki inayoanza.

Fadhy Mtanga said...

Tunakushukuru sana kwa kukumbuka daima kututakia Jumapili njema.

Swali la kizushi, hivi hizo nywele za Kimasai zilivyokupendeza unataka kusema hata huko kuna wasusi wa Kimasai?

Mzee wa Changamoto said...

Swali zuri saaana Kaka Fadhy. Ntazitungia shairi hizi. Lol
Mimi nilidhani utabandika "ile" picha uliyopiga ukituombea kanisani. Lol
Ila sala ni ppote na twashukuru saaana.
Blessings

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

usiisogelee kompyota hivyo kwani hutoa mionzi!!!!! !! !!!!!!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Nawe pia na familia yako.

Faith S Hilary said...

Na wewe pia dada

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha sana kuona hamchoki kunitembelea nami nasema karibu na karibu sana.Nimeona mmeuliza swali kuhusu nywele zangu ngoja niwape siri mimi ni mtu mmoja bahili sana kwa hiyo hizi nywele nilisuka nyumbani. Yaani nilipokuwa huku mwanzoni mwa mwaka na bado sijafumua kwani hapa kuna bei sio ya kawaida. Na mimi sina hizo pesa. Kwa hiyo habari ndiyo hiyo:-)

Chacha Wambura said...

ninapoangalia picha hii naona kama ulikuwa unamumunya pemba...lol!!ama pipi?

Anonymous said...

mimi sioni kama kusuka ni dili! kwa nini usinyoe? mimi. Ila blog yako imeenda shule kinoma yaani iko juu kama jua.

Anonymous said...

The smaller the animal the tender the meat? usipime nimewiwa na Alhamisi ya leo kwani iko vizuri kuona mambo matamu hususani nililpokuwa primary School. Du! tunatoka mbali kinoma yani usipime!!!!!