Tuesday, July 7, 2009

SALAMU KUTOKA SWEDEN KWENDA MATETEREKA

Leo napenda kumwiga Mzee wa Changamoto kwa kutoa pongezi kwa watu muhimu walioniwezesha. Miaka 10 iliyopita nilikuwa nimeanza kufanya kazi katika Sec. School ya Wilima iliyoko katika kijiji cha Matetereka tarafa ya Madaba. Nilipokuwa kule nilikuwa naishi katika familia ya mzee Mayemba. Katika picha ni Mzee ("baba") Lukas Mayemba na mkewe mama Emelensiana. Nawashukuruni sana mlinilea kama binti yenu na nimejifunza mengi sana kwenu. Hawa ndio walikuwa baba na mama yangu kipindi naishi Matetereka. Nawatakieni maisha mema.

11 comments:

Fadhy Mtanga said...

Safi sana. Si wote huwakumbuka watu walochangia kuwafikisha walipo. Hongera sana.

Simon Kitururu said...

Hapo naona lazima ilikuwa MBWA MKALI a.k.a BILA KUTANGAZA NDOA hakipiti kitu kidoezi:-)

Faustine said...

Ni wachache sana wanaokumbuka na kuthamini walikotoka.Hongera sana kwa hili.

Nicky Mwangoka said...

Hongera sana Yasinta kwa kuwakumbuka watu hao muhimu kwako. Unajiongezea baraka kwa hilo.

John Mwaipopo said...

katika mambo yako meeengi mema uliyofanya ama kukumbuka kuyafananya hili ni mojawapo. 'ongela'

PASSION4FASHION.TZ said...

Honera sana Yasinta kwa kutoa shukrani kwa watu muhimu waliochangia malezi mazuri kwako.

Pili napenda sana kumpongeza mzee wa changamoto,sasa naelewa nini maana halisi ya neno la mzee wa changamoto,kweli unatufundisha mengi na tonapata changamoto kubwa kupitia kwako,hongera sana kaka.

Haya kaka Simon,nimecheka niliposoma comment yako,lakini inaukweli ndani yake hapo kweli ilikuwa ni mbwa mkali.

Yasinta Ngonyani said...

Asanteni wote kwa mao ni yenu mazuri. Na pia asanteni kwa kutochoka kunitembelea daima.

Bennet said...

Hongera sana kwa kuwakumbuka hawa walezi maana naona hata wao wanajisikia fahari kupata salamu hizi

Sorry nilikuwa mashambani ndio maana nilikuwa kimya

yanmaneee said...

westbrook shoes
cheap jordans
kyrie 4
christian louboutin
yeezy 500
golden goose sneakers
golden gooses
nike basketball shoes
nike react
off white nike

Unknown said...

replica wholesale handbags CGQBV high quality replica handbags ELTU cheap replica handbags FKSW

nesesegoa said...

click for more high quality replica bags site link dolabuy replica her comment is here aaa replica bags