Monday, July 20, 2009

HISTORIA FUPI YA VANGONI (WANGONI)

Mwenzenu leo nimejikuta kutamani kuandika historia hii ya wangoni kwa kingoni. Naogopa nitasahau lugha yangu ya asili. Haya someni kama mtaambua mawili -matatu nitafurahi.


Vangoni vitama kuSongea-Tanzania. kuZambia na kuMalawi. Kadeni vangoni avo vatamayi kuZululand. Myaka ya 1800 vakawuka kwenuko pamonga na vanduna na vankosi vavi na kuyingila kumulima uwu. Mulugendu lwavi ulo vakapita kutova ngondo nakutola vavanda vamahele na kuvakita vangoni ngita vene, muni vajovayi “mwana wa lihimba nga lihimba mewa”. Pakukomana ngondo, vangoni vanyagayi ngómbi, mene, mamberere, ngúku na kuwuka. Popoha pevatovayi ngondo vavatolayi vandu vavi na kuyonjekesa uvaha wa kabila lawu na kuyendelela kulingolo na kuyingila mavidunda venijovilivo. Vangoni vayingili kuTanzania kwa mabanja gadatu libanja la Vangoni va Zwangendaba, libanja la vangoni va Mputa Maseko na libanja la vangoni va Zulu Gama na Mbonane Tawete. Mabanja aga goha hata ngati galongosini lepi lukumbi lumonga pakuyingila kuTanzania, nambu gapitili mulamula mwe gipitili mabanja gangi na kutola vavanda. Nsava ya naha ukuvavona vangoni vahangasiniki na mahina gavi pamonga na vibongo na mahina vavanda wavi.

Vangoni va Zwengedaba

Zwangendaba au vakumkemela Zongendaba, amanyikini muni na vangoni na vazeyi voha va chingoni. Chibongo cha lukolo lwa Zongendaba chavi Nkosi au Tole. Vibongo voha ivo akavileka na kutola lihina la Jere. Dadi wa Zongedaba na wamkelayi Hlachwayo. Vijova ya kuvya Zongedaba ahumili kuTanzania. Vangoni va Zongendaba vevayingili kuTanzania, vakahamba kuUjiji ya kuTabaora na kutama kuKahama. Kwenuko vimanyikana kwa lihina la Vatuta. Zongendaba afwili kuMapupo (Chipata) –Ufipa mwaka 1858 na wamhilili kukwokwo. Hinu vandu veavayolili Zwangendaba kuyingila kuTanzania nde ava: Waswazi, Wandwandwe, Wathonga, Wakalanga, Wamashona, Wasenga, Wachewa Watumbuka, Wakamanga, Wasukuma.

Vangoni va kwaZulu Gama na va kwa Mbonane Tawete
Lukolo lwa kadeni sana kuyingila kuSongea lwavili lwa mwene Bambu Zulu Gama na Mbonane Tawete. Yiwonekana veneva vavi he pamonga na Zongedaba peayingilayi kuTanzania na kuhamba kuTabora. Zulu Gama na Mbonane vabwelili lukumbi lungi kuhuma kuzululand. Mbonane Tawete avi mwana wa Mshopi, mwana wa Kibovu mwana wa Kisara. Mulugendu lwavi kuhuma kuzululand, Mbonane na dadi waki Mshopi wakakonganeka kunyanja na vangoni wa kwaZulu. Kunyanja kula Zulu Gama na Mbonane wakatemana ukozi. Mbonane akampela Zulu mlumbu waki Ushambazi au wakumkemela Mafunasi (Nasere) kuvya inkosikazi waki. Mbonane Tawete avi mkozi wa Zulu. Pakuhuma kunyanja kula, voha vavili vakayingila pamonga kuTanzania. Ndava ya naha vandu va Zulu na va Zwangendaba vihwanana mahina na cibongo vyavi. Kuhuma kwa kunyanja uko, voha Mbonane na Zulu vakagenda pamonga na kutindila ngita vangoni va Zwangendaba naha, kuhuma kuSwaziland, vakapita kwa vatonga, kwa wakalanga, kwa wasenga na kwa wasukuma, wakavayonjakesa na wachewa. Vangoni va kwaZulu na va kwaMbonane vakonganiki he na vangoni ya Zwangendaba. Ila pevapitayi vazulu na va Mbonane vapilikayi kuvya mulamula apitili Zwangendaba. Zulu na Mbonane vakakupuka mfuleni wa Zambezi kwa mtahu sana ndava mfuleni uwu unyoliki na kutaluka na umemi mang´wina. Pakumala kukupuka, vandu vakam´bongelela na kumyimbila nyimbo Jeru muni avalangisi pahala pabwina pakukupuka. Pakuhuma kwenuku, vakalongolela na kuhika kuMalawi na kuZambia na kuyingila kuMalangali – Tanzania. Njeru dadi wa Zulu na Mshopi dadi wa Zongendaba vene wafwili kuZambia, vayingi he kuTanzania.

11 comments:

chib said...

Mh!! Wacha ukabila kwenye blog.

Fadhy Mtanga said...

sijaelewa! niungane na kaka Chib.

Unknown said...

Mimi nimeelewa vizuri sana....LOL

mumyhery said...

nimetoka kapa

Yasinta Ngonyani said...

Samahani jamani lakini hii yote ni kwa vile sina mtu wa kuongea naye kingoni nikajua kuna mmoja atanielewa na kweli kaka shabani kanielewa...lol

Mbele said...

Hongera kwa kuweza kuandika kiNgoni. Ni namna bora ya kuhifadhi utajiri wa lugha zetu za asili.

Kusema kweli, wengi wetu tukipata mtihani wa kuandika habari yoyote kwa lugha za makabila yetu, tutashindwa, hasa kwa vile itabidi tutunge namna ya kuandika baadhi ya sauti au matamshi ambayo hayamo katika herufi tunazotumia kuandikia kiSwahili.

Poleni mliotoka kapa. Wangoni ni jirani zangu, na lugha zetu zinakaribiana. Kwa hivi nafahamu karibu kila alichoandika.

Nampangala said...

Za magono mlongo wangu? Nimeludia nimeludia kusomo hii historia ya kunyumba, Mi nimekuelewa sana na umenifurahisha sana.
nakutakia maendeleo mema

Anonymous said...

za magono Yasinda, wiyumuka?
usengwili Yasinda, ne niyeliwi kila chindu tena hinu nivili kuni kuungoni kuni, nilya nguku, somba.

Faustine said...

Hongera kwa makal ndefu iliyoandikwa kwa kilugha.
Mimi binafsi ningependa muhtasari wa mahusiano kati ya wangoni na wazulu katika lugha ya kiswahili. Ukifanya hivyo utakuwa umetuelimisha wengi. Ahsante.
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/

Ngatunga said...

Aisee dada Yasinta usengwili kwa hii story ya kwetu,haswa ulivyoiandika kwa kinyumbani,yani we wacha tu umeninilza leo kwa kukumbuka nyumbani,Gwali na likolo lananyungu,usipi.
Yaani raha tupu.
Keep it up

Unknown said...

Jaman mwavayangu ninogela gwali gwa mayawu