Monday, May 11, 2009

NIMERUDI TENA SONGEA HAPA NI CHUO CHA UALIMU SONGEA (KIPO MATOGORO)

5 comments:

Anonymous said...

panaonekana pazuri, walimu wetu wengi wamesoma hapo, tumshukuru sana Padre Gerold Lupper kwa kujenga hicho chuo.

Fadhy Mtanga said...

Matogoro ni pazuri. Nilifika mwezi Julai mwaka 2001 kuna ndugu yangu alikuwa akisoma hapo mi nikiwa Kigonsera. Umenikumbusha mbali jamani.

Anonymous said...

Hujambo Yasinta?
Kuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.
Serina.

Anonymous said...

Hiyo Picha Imenikumbusha wakati nilipokitembelea Chuo hicho ni kizuri sana. Umefanya vizuri kuweka picha yake.

Anonymous said...

yasinta umenikumbusha mbali sana. mi nilikua mtoto wa kota hapo ttc enzi hizo za kadeni. nakumbuka hapo tulikua tunaenda kuchuma maua ya kupamba ndani siku za sikukuu kama za xmas, easter na idd. ila walinzi walikua wanoko ile mbaya.