Thursday, May 21, 2009

AMA KWELI DUNIANI TUMEZALIWA WAWILIWAWILI

Je? mnawafahamu hawa watu ni akina nani? je? unadhani ni pacha? au dada na kaka?

10 comments:

Fita Lutonja said...

KWAKWELI siwajui ila wanafanana sana nihabarishe ni akina nani ebu nimuulize Marcus niwakinanai wewe Marcus kijana mpotezu!!!!!!

Simon Kitururu said...

:-)

Kibunango said...

Namwona Kamanda Simon hapo juu kulia..lol

EDWIN NDAKI (EDO) said...

mkono wa kulia huyo ni ndio mstahiki meya wa blogu ukanda wa ufini..unaweza kumwita sijui nisemeee au nisesemee? ukipenda mwite mzee wa Duh! Simoni mwana wa Kitururu..aaaa one love man

huyo pembeni yake sifahamu ni nani..naomna utujuze..

tutafika tu

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

wewe unatewambia mambo ya kaka na dada hivi wote wananywere ndefu na wamevaa suruali tutajuaje jinsia zao? hivi unaweza vipi kujua jinsia ya mtoto mdogo kwa mfano?

sijui jinsia ila ni picha mbili tofauti zilizofanyiwa editing na kuwekwa pamoja. labda no mmoja kwani kote kna rasi. "in marriage two becomes one" na kwa hiyo ni mmoja na sijasema wameoana. wote si wanapumua sawa, wanakula, wanaona, wanasikia na walizaliwa? kwa hiyo ni wa moja=mmoja tu

mumyhery said...

kama si Simon basi nakupa mji

Yasinta Ngonyani said...

Nasikitika kuona wengi hawawafahamu watu hawa. Ok, ila kuna wengine wameweza. Lakini ngoja niwaambia hao akina nani kushoto ni Tracy Chapman ni mwanamuziki na kulia ni kaka Simon Kitururu ambaye pia ni mwanablog:-)

Christian Bwaya said...

Nimechelewa. Mkodo nshamfahamu mapema. Huyo mwingine nshahisi wewe kumbe nilikuwa buuuuu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Bwaya! we si wa kwanza kuna wengi pia wameniambia nimefanana naye kwa hiyo kama ni hivi nimefanana na Mkodo. Lol

John Mwaipopo said...

hawafanani. Ila wamevaa makoti na wana rasta. pua, meno, macho, masikio tofauti. au siku hizi kufanana ni nguo na nywele?