Sunday, May 17, 2009

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

3 comments:

Fita Lutonja said...

Tunashukuru kwa kutukumbuka na kututakia Jpili njema daina nasi huku tuliko tunakutakia Jpili njema na Mungu aendelee kukubariki sana pamoja na familia yako.

Yasinta Ngonyani said...

Asante sana Fita na kweli leo imekuwa Jpili njema kabisa sijafanya kitu chochote zaidi ya kupumzika. NAPENDA JUMAPILI.

chib said...

Nimeitembelea blogu yako, nimeipenda. Picha ya mama wa kimasai ktk wote tutakuwa hivi imenivutia sana.
Pia nakushukuru kwa kupitia ya kwangu na kutoa machache.