Monday, May 11, 2009

UTARATIBU WA KUTATANISHA WA MANENO(mashairi hafifu)

Je? kuna anayeweza kusema sentensi hii bila kupumzika au kupemua mpaka mwisho. Jaribu ni moja ya mazoezi ya mdomo, huwa nasema hivyo kila asubuhi niamkapo. KARIBUNI!!

Katibu kata wa kata ya mkata amekataa kata kata kukata miti katika kata ya mkata.

5 comments:

Faith S Hilary said...

i cn say it like that ila siwezi kushika kichwani...lol

Simon Kitururu said...

Ni nini kilisababisha uiseme kila asubuhi?

Inanikumbusha mbali sana!

Yasinta Ngonyani said...

Karibu tena Candy! utashika tu kichwani ukisema kila siku...Lol

Simon! kwa sababu ya kupenda:-) na pia ni mazoezi ya mdomo kama nilivyosema:-(

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hiyo ndiyo mantra yako ya meditation?

itakupeleka plane ya tano!!

pakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanya

Yasinta Ngonyani said...

Yah Kamala!ndiyo hiyo ni meditation yangu. Nimefurahai na hiyo yako ya pakapanyapaka.... Ninayo nyingine inasema hivi kaka kakuku kale kadogo keupe kapo kwako
kaka?