Thursday, May 7, 2009

HATUFANYI KAZI TU KUNA WAKATI HUWA TUNABURUDIKA PIA HAPA NI NGOMA YA LIZOMBE



Napenda kuwakaribisha nanyi pia katika ngoma hii ya asili. Hapa ndugu zanguni ni mpaka lukela mpaka ugimbi umalikayi.

12 comments:

Anonymous said...

hapo umenikamata, hiyo ngoma naicheza sana ninapokuwa nyumbani, ila huku ughaibuni ndio naikosa sana. asante kwa kunipeleka nyumbani mitaa ya Peramiho (kuchiperamihu).

Yasinta Ngonyani said...

Na wimbo wake: ibesa mawu, ibesa dadi wagosi va mdila ibesa ena ena ena........ nitangatilayi basi

Anonymous said...

sana, halafu hako kawimbo ka ibesa mau, wanawake "eti" walikuwa kuwapiga chini wanaume, tehetehe, ibazsa mau, ibesa dadi, vagosi va mundila ibesa, ena, ena, enaaaa. hata hivyo pamoja na kubesa mau, na kubesa dadi, vana vya mumatutu vavili vamahele sana.

Yasinta Ngonyani said...

Ena na sio kunyumba yitu tu hata kuni tena wamahele tu mwenga!

Najua watu mtasema sasa hapa nini basi tunasema cha nyumbani kidogo labda nisema kama Kamala nitaanzisha blog ya kilugha:-)

mumyhery said...

wakihitaji tena kununua sare ya kanga au vitenge waambie tuwasiliane si unajua tena ndio line yangu?

Yasinta Ngonyani said...

Usihofu dadangu ntakuambia kwani kucheza lizombe bila kanga au vitenge ni kazi bure kabisa.

Simon Kitururu said...

Mimi nilikuwa hapo kulia baada tu ya picha nalinda ugimbi.:-)

Yasinta Ngonyani said...

Nilijua tu hutakosa ugimbi maana huwa tunakuwa wote ktk vikao halafu leo kuna ulanzi pia:-)

mumyhery said...

Simon wewe kiboko

Ivo Serenthà said...

Hello sweet Yasinta, I like the colors of your costumes are the mirror of your soul

A hug, Marlow

Nampngangala said...

Mdala wa bambu apo uniikishi kunyumba kweli kweli kulilambu, kumwanamonga,na uwo wimbo wa ibesa mau ndio umenifkisha kabisaaaaaaaaaaaa, kule nikiondoka kidogo nyuma mwanisengenye we, na kulala kwa foleni kula kwa foleni na kutembea shoto kulia shoto kulia,apo kiuno kinamwaga ata mangatungu yanasauliwa siku iyo, Dada yangu mlongo asante kwa kunikumbusha kunyumba.

Simon Kitururu said...

@Mumyhery: :-)