Friday, March 20, 2009

MAISHA YA UJAUZITO+UTAMADUNI +UASILI



Kwa nini watu tunapoteza pesa kununua nguo za bei mbaya.Mnajua mara nyingi nimekuwa najiuliza kweli kiumbe hai kitakaaje humu tumboni miezi tisa. Mungu kweli ana miujiza yake. Ila pia akina mama tuna kazi kubwa sana. Huu mvao wake nimeupenda.
IJUMAA NJEMA KWA WOTEEEE!!!

7 comments:

Simon Kitururu said...

Wakinamama kweli mna kazi! Halafu kutunza uanamke ghali kweli!:-(

Yasinta Ngonyani said...

Simom, we mchokozi:-( unadhani bila ya ninyi wanaume tungekuwa na hiyo kazi:-) ok hii ni kazi kweli kweli!!!

Simon Kitururu said...

DUH!


Lakini nyie hata bila sisi wenye uume naamini ungeniomba nibadili jinsia na uvivu wangu, ningeweza kukataa uke!

Naheshimu wanawake na nauhakika ingawa nyie wanawake ni vigumu kuelewana nasisi wanaume, ila shughuli zenu ndio zina fanya binadamu bado tupo hapa duniani na kwa muda mrefu kisayansi mngeweza kuwachuja tu wanaume mbegu zao na kuwatupilia mbali na sisi vidume sasa hivi msingehitaji.:-)

AU?

Tuko Pamoja Dada!


Niko katikati ya kusawazisha ya JUMUWATA.


Teknikali nilipoteza kila kitu kwa tekniko probulemu moja! Na usiitenge basi JUMUWATA ingawa bado iko baridi.

AU?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

akina simoni huanza kwa kubembeleza, mara miguno na hapo mwanamke anaaza kufanya kazi yake ya kulea jamii anayotaka sasa haki sawa ya kusaidiwa na mwanamume.

kuhusu mavazi mimi naona tuige tu ya wazungu si tunaouwezo wa kuiga kila kitu? hata dar tuvae makoti mazito bila kujali hali ya hewa si mzungu wa scandnavia huvaa hivyo na sisi tumewatuma mkasome ili muhige na kutuletea sisi?

Anonymous said...

Uongo mbaya jamani dada kapendeza kweli.

NURU THE LIGHT said...

jag ska ta denna bild..den e so vacker

Yasinta Ngonyani said...

Det tycker jag med, det är därför har publiserat två gånger:-) ta den du!