Wednesday, March 11, 2009

KARIBUNI TUJUMUIKE


Karibuni chakula ni chaguo lako ukitaka pweza chips au samaki changu chips. Kuwa nyumbani raha kweli unaweza kula chakula cha kutoka baharini mara hiyohiyo.

10 comments:

Simon Kitururu said...

Ushanitia majaribuni na makande yangu sasa hayatanoga !:-(

Born 2 Suffer said...

Aaaah mbali mwanawani ungekua karibu sibakishi kitu hapo utaona sahani tupu..

Yasinta Ngonyani said...

Oh! Simon usikasirike kwani makande ni chakula kitamu na cha kuleta nguvu:-)

Na Born2 Suffer, hakuna shida ningekuagizia sahani nyingine si unajua hatuli kwa mahesabu.

Christian Bwaya said...

Majaribu hayana budi kuwapo, ole wake yule ayasababishaye ha ha ha ahaaa!

Albert Kissima said...

Ama kweli mwili haujengwi kwa matofali.

Da! yani nikiyaangalia haya makulaji, home nitaweka mgomo,nimechoka kula ndisi,mtori na ngararimo , kweli nitawaonyesha hii picha ili wanitengenesee hivi hivi kweli ili na mimi nijichane."Aika sana"(nashukuru sana)

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Bwaya naona mate yamekudondoka hapo. Ha ha ha :-)


Kissima nawe naona umependa chakula. Ila hata mtori ni chakula kizuri.Nadhani ukiwaonyesha picha hii watakutengenezea tu. Maakuli mema

PASSION4FASHION.TZ said...

Yasinta wewe mgomvi? vitu kama hivyo wenzako ni adimu kuvipata sasa mate yamenijaa mdomoni ila mimi hapo chips ni, no thank you naomba unibadirishie ondoa chips uniwekee ugali!!!!sawa dada na mikoni nimeshanawa nausubiri tuu.

Yasinta Ngonyani said...

Bila tatizo ugali tu utapata na hata ukitaka wali. Ila angalia haya mate yasidondeke sana wageni wengine watakimbia.

私のブログ (My Blog) said...

I like it

By :
http://palembang-musi.blogspot.com/
http://bloggerindra.blogspot.com
http://bisnis-dollar-internet.blogspot.com/

Yasinta Ngonyani said...

Indra thankx for visiting my blog and you are welcome again and again