Sunday, April 12, 2015

HII NI KAZI YA MIKONO YANGU...NAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA NA MIKONO!!!!

 Nimeamka asubuhi hii na kujisikia hamu ya kuoka mikate na hapa mbaona matokeo yake
Napenda kuoka tu lakini sio kula usiniulize kwa nini kwa vile unajua jibu:-)  Nimezoea kula mihogo ya kuchemsha:-)

8 comments:

Nicky Mwangoka said...

Hongera sana Dada. Hapo chai vikombe 6 twende

Yasinta Ngonyani said...

Vikombe 6? Mama weee inabidi nikanunue lisufuria:-)

Interestedtips said...

duh...dada mimi nitaomba somo la kuoka kwakweli....nimeipendaaa inavutia hasaaa

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Una haki na kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kukupa ujuzi wa kutengeza maakuli. Hawa jamaa wanaonekana yummy kama hawana mafuta mengi. Enjoy your stuff.

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin wala usihofu kuhusu somo hilo ....sio kuvutia tu na kupendeza ni mitamu pia:-)

Kaka Mhango! usiogope haina mafunta mengi ,,,Karibu!

Rachel Siwa said...

Hongera Kadala..umenitamanisha....

Anonymous said...

Yasinta the bakery chef lol! They look yummy

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki Ahsante ...Karibu bado ipo....
Candc...Karibu sana hapa kibarazani na pia kula mikate