Monday, March 2, 2015

JUMATATU HII YA KWANZA TUANZE NA KUKARIBISHANA CHAKULA CHA MCHANA ...

Ni chakaula ambacho akipendacho sana Kapulya/dada mkuu...ni ugali samaki, maharagwe, na mbogamboga...KARIBUNI TUJUMUIKE:-

6 comments:

mumyhery said...


njaa imeuma ghafla LoL!!!

Anonymous said...

Msosi kabambe huo hata ulaya chakula chao hakifii ubora huu! By Salumu.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ukisikia uchokozi mwingine ndiyo huu. Chichemi mengi miyi.

Yasinta Ngonyani said...

Dada M pole sana kwa kupatawa na njaaa ghafla:-)

Kaka Salumu! :-)

Kaka Mhango! eti uchokozi.

Nicky Mwangoka said...

Yaani hicho chakula kinanipa njaa hapa sasa. Kitamuje kwa muonekano tu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky sio peke yako hata mimi hivyo hivyo!