Wednesday, July 16, 2014

WIKI ILIYOPITA JUMATANO YA TAREHE TISA NILIPATA NAFASI KUWA NA WAFANYA KAZI WENZANGU KAMA NILIVYOWAAMBIA....NA HAPA NI BAADHI YA PICHA NYINGINE NA BARO ZAIDI

Nadhani mnakumbuka hapa . Basi leo mfanyakazi mwenzangu naye kumbe alipiga picha . karibu....

 
 Sijui kwa nini napunga mkono hapa. ni mwenyewe Kapulya na Dada AnnSofi
 Kapulya/Yasinta
 AnnSofi na rafiki yangu mpendwa Marlene
Hapa ni Dada Pernilla na Marlene ..meza nayo ilichafuka kiduchu.
NAWATAKIENI JIONI/SIKU/ASUBUHI AU MCHANA NJEMA/MWEMA

3 comments:

Anonymous said...

Pendeza mwenyewe Yasinta na marafiki zako. Uwe na siku njema.

emu-three said...

Mhh hongera ndugu wangu, tupo pamoja

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na ahsante ssna...siku itakuwa njema na hivi leo nimeanza likizo.

Emu -three....ndugu wa mim mbona umeanza na mguno? Ahsante pamoja daima.