Hapa ni chakula nilichokula mimi ni mshikaki wa kondoo na wali wa binzali ...nyanya na majani matatu tu wabahili wa mboga hao....
Na hapa ni chakula alichokula rafiki mmjoa /Elizabeth ni saladi ya kamba yeye hali nyama...ilikuwa tu baadhi ya vyakula vya wengine sikupiga picha.
KILA LA KHERI
4 comments:
HAYO MAMBO DADA HUO MSHIKAKI SIJUWI WA SAMAKII UMENIPA HAMU SANA ILA KARIBU NYUMBANI NI KWELI INAPENDEZA MARAFIKI MKIKUTANA NA KUPEANA AU KUBADILISHANA MAWAZO UWEKWELI INALETA RAHAAAAAAAAAAA UWE NA SIKU NJEMA NA TULIVU SISIS NI NDUGU PAMOJA DAIMAAA
Kaka ni mshikaki wa kondoo..Yaani ilikuwa siku njema sana nikajikuta kama vile nipo nyumbani/Tanzania.
Ilikuwa nzuri sana na ulipendeza sana, full picture inahitakija ukiwa umesimama, mie hapo sikuoni vizuri shauri ya jua kama ulivyosema. Ila ulipendeza sana, je umesuka rasta hapo au? sioni vizuri. Chakula kilikuwa kitamu kwa kuona na macho tu, siku ingine naomba mwaliko mapema na mie niwepo.
obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur
Post a Comment