Saturday, July 12, 2014

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA KIBARAZANI MWISHO MWEMA WA JUMA KWA KIPANDE HIKI CHA MZIKI!!


PANAPO MAJALIWA TUTASEMA TENA KARIBUNI!!!

2 comments:

NN Mhango said...

"Mziki"mtamu kuliko muziki dada. Kila la heri.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango..miziki ya zamani inavutia sana na ina ujumbe mzuri..kila la kheri nawe pia.