Sunday, July 13, 2014

TUANZE JUMAPILI HII NA KIKOMBE CHA CHAI...NINYIME VITU VYOTE LAKINI SIO CHAI!!!

You´re Just my Cup of Tea,
Our Love Warms my Heart.
Najua wote mnajua mie ni mpenzi sana wa chai tena ile isiyo na sukari(Chingambu) :-).
BASI NIWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA. UPENDO NA AMANI ITAWALE KATIKA NYUMBA ZETU.

4 comments:

Anonymous said...

Chai chai chai ya rangi bila sukari, dada uko juu sana! unaitunza afya yako kisawa sawa. Jumapili njema sana.

Yasinta Ngonyani said...

Chai ndo mimi na mimi ndo chai damu damu.birika moja kwa siku...uwe na jumapili njema nawe usiwe na jina.

Christian Bwaya said...

Nilianza kupenda chai isiyo na sukari muda sssa. Naamini hata kikombe ninachokiona haina sukari :)

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Bwaya.....kumbe tupo wengi na hapo ndipo unapousikia utamu/eadha ya/wa chai..