Friday, July 18, 2014

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA UKIPATA WASAA SIKILIZA KIPANDE HIKI....
Au tu labda tusikiliza na hii pia

MUNGU IBARIJKI AFRIKA YETU..PAMOJA DAIMA . IJUMAA NJEMA

1 comment:

NN Mhango said...

Wasanii wamefanikiwa kujenga taswira ya utaifa japo wamesahau kuongelea ufisadi, udini, ukabila ambavyo ndivyo vitu vinavyotisha kuharibu na kuuagamiza utaifa. Ingawa kila mtu ana uhuru wa kuelezea utaifa ajuavyo, kuna haja ya kwenda ndani na kuwataja maadui wa utaifa badala ya kuimba utaifa utaifa bila kueleza suluhu ya kupambana na wanaotishia huo utaifa. Hakuna adui mkubwa wa utaifa wa Tanzania kama baadhi ya watanzania kujiibia wenzao. Ukija kwenye muungano hauwezi kudumu bila kufanyiwa marekebisho. Hata hivyo siwalaumu wasanii kutokana na uwezo wao wa kuelewa mambo.