Friday, July 4, 2014

NIMETAMANI NYUMBANI RUHUWIKO LEO

HAPA NDIPO KWETU RUHUWIKO ...NA LEO NIMEKUMBUKA MNO KUNYUMBA/NYUMBANI. NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA PIA MWANZO MWEMA WA JUMA...KAPULYA WENU:-)

8 comments:

NN Mhango said...

Da Yacinta, kwanza hongera kwa mjengo uliokwenda shule pia nimeuzimii ile mbaya. Kwa bush huo mjengo ni hekalu. Big up ikiwezekana weka mwigine zidi.

Nicky Mwangoka said...

Home sweet home

Anonymous said...

Nyumbani kwa Dada Yasinta hapoooooooo, kuzuri mno na pia kama alivyosema ndugu Mhango ni mansion hiyo! Hongera sana kwa kuwa na nyumba nzuuuuuri mno. Jumapili njema.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka yangu Mhango nami kwanza nasema Ahsante sana... hutaamini nikisema ni mr alichora hiyi ramani..karibu sana Ruhuwiko kwetu.
Kaka Nick! haswaaa
Usiye na jina ahsante sana...si unajua huwezi kuishi kwa wazazi miaka yote.

Mbele said...

Nyumba nzuri sana na mazingira pia. Nina dada yangu, mdogo wangu, anaishi hapa Ruhuwiko, na huenda anakufahamu au angalau anapafahamu hapa nyumbani pako.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante pro...inawezekana ...ningefahamu wapi anaishi ningeenda kumsalimia....

NN Mhango said...

Mpe mr huyo shem wangu hongera kwa mchoro mulua uliokwenda chuo.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal kaka Mhango! Salamu zimefika na anasema AHSANTR SANA !