Thursday, October 3, 2013

ZILIPENDWA...UNAWAFAHAMU WATU HAWA AU UNAJUA HAPA NI WAPI?Wametulia hapo bila wasiwasi inaonekana ni mahali pazuri na penye utulivu...Haya karibuni kufumbua fumbo la leo....:-) Sijui itakuwa mwaka gani hapa????

8 comments:

Anonymous said...

Nadhani itakuwa 2008, wapi, sipajui! By Salumu

Anonymous said...

Hao ni wanao, wapi, somewhere in Sweden! By Salumu.

Ester Ulaya said...

Dada na familia. akina Camilla walikuwa wadogoo

Anonymous said...

Kweli ni patulivu kwa picha. Nahisi ni Songea, Tanzania. Jamani wanao walikuwa wadogo na hata mama yao ni mdogo mdogo. Tunahamu sana tujue ni wapi. Siku njema.

ray njau said...

Najaribu kuwaza kwa sauti kama ni mahali fulani mkoani Ruvuma!!

sam mbogo said...

Hapo ni songea,pia namuona mwanachama wa CHADEMA Camila mwenyewe kavalia kabisa!!.kaka s

Anonymous said...

Hapa ni uwanja wa mashujaa Songea. hiyo ni pasipo shaka yoyote.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani nimefurahi mno kwa maoni yenu ahsanteni sana. Usiye na jina wa 2:43PM ndo kavunja rekodi yaani umepatia kabisa. Na ni kweli ni mimi ns wanangu haoa tulikuwa wadogo na ilikuw nadhani 2007. NI MAKUMBUSHO SONGEA. Ruksa kuendeles na mjadala