Monday, October 14, 2013

JUMATATU HII TUANZE NA ZILIPENDWA!!!

Je? Kuna unayemtambua katika picha hii. Jumatatu iwe njema kwa wote.

10 comments:

Anonymous said...

Yasinta mama Erick yupo kulia kabisa

Anonymous said...

mimi pia naungana namchangiaje hapo juu yasinta ni mwanzo kulia

Anonymous said...

Leo ni sikukuu IDD ya waislamu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema!

ray njau said...

Nami nawaza kwa sauti Yasinta huyoooooooooooo!Mwanzoni kulia!!

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa watu weweeeee!!!!!

Anonymous said...

Yasinta wa kwanza kulia, mie nna swali hapo ulikuwa na umri gani? unasoma wapi?

Yasinta Ngonyani said...

Mmmhh! Kweli ya kale dhahabu pichani hapo ni Wilima secondary 1992 ni kweli toka kulia ni:- Yasinta Ngonyani, baada yake ni Agnes Fusi, Doroth na Leopodina....kwangu mie kumbukumbu nzuri sana..
Kama umeona picha hii tuwasilisne...
i

Mija Shija Sayi said...

Bonge ya kumbukumbu, wapo wapi hao wengine?

Yasinta Ngonyani said...

Dada mkuu msaidizi yaaani ni kweli bonge la kumbukumbu..Kwa kweli sijui wapo wapi ..na kama wataangalia hapa naomba tuwasiliane..

rose ngittu said...

Hi dada yasinta
Heri Ya mwaka mpya umenikumbusha mbali kwa kweli. Agnes fussi. Ni mekutana nae Dar mwaka jana August hao wengine sijui yako wap? Nice picture.