Tuesday, October 29, 2013

NIMETAMANI SANA CHAKULA HIKI MIHOGO KWA SAMAKI

Nimetumiwa picha hii na mdogo wangu Sarah Mgaya sasa hivi ni mihogo na samaki ni chakula ambacho nimekula sana nawaza kusema ndicho kilichonikuza. Kama si hivyo basi ugali wa muhogo na samaki...nimetamani mno...ahsante

9 comments:

Anonymous said...

Sasa tutakipataje hicho chakula hapa Sweden? jamani Unatutamanisha sana Dada Yásinta. Ngoja tule kwa picha.

Yasinta Ngonyani said...

Ndo hapo sasa usiye na jina hapa nipo hoi...basi tule kwa macho kama ulivyosema...

sarah said...

hahaaa mtajibebaaaa poleni sana jamani...ilikuwa mitamu mpaka sasa nasikilizia utamu samaki anitwa sato wa ziwa tanganyika......nilipika chukuchuku haswaa maana ni hoho,carot,kitunguu,chumvi na mhogo aisee sitasahau kipolo nimenywea chai

Nancy Msangi said...

Da mate yamejaa kwny kikombe!

Anonymous said...

Hivi huko Sweden hakuna mihogo frozen? By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Sarah najua ww mchokozi, maana ulijua napenda chakula hiki...lol..ahsante.

Nancy!..mie yamejaa kwenye sufuria:-D
Kaka Salumu...mihogo pia viazi vitamu......ila sato hakuna.

ray njau said...

Kwa macho twala na kwa midomo twachekaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Salehe Msanda said...

Sawa !
Shule njema

Penina Simon said...

Hi Yasinta,
Umenitamanishaje leo shost!!!, lazima nikipike j1/j2 nikiwa na muda wa kutosha