Monday, October 28, 2013

TUANZA JUMATATU HII NA ENZI HIZOOO JE MNAKUMBUKA???

Binafsi nimekumbuka sana maana ndo nilikuwa kadala/kachiki tu ...Muwe na jumatatu njema wote!!

3 comments:

ray njau said...

Hakika kila zama na waja wake!!

Anonymous said...

Zama za "Pekos" hizo! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray na Salumu..hakika ya kale ni dhahabu...na sasa nadhani yansibuka tena...viatu "laizoni" na hizo nywele nimependa zaidi