Friday, October 5, 2012

NIMEONA TUBAKI SONGEA YETU NA NGOMA HII YA LIZOMBE KWANI NI SIKU NYINGI HATUJAISIKIA..UNGANA NAMI!!


HII HAPA NI KAZI YA MIKONO YANGU/NIMETENGENEZA MWENYEWE:-) Hakika ngoma za asili ni tamu...haya twende pamoja....

AU HALAFU TUENDELEE  KUSIKILIZA NA HAPA ....TUSELEBUKE..

Tuserebuke aaeeeX3  Maraha maraha kamla..ninapotaka mimi ni hapo tuX3 ninapochoka mimi ni hapo tu maraha maraha kamlaX3 duh naona nachelewa kucheza hapa endeleeni kuimba ....
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE IJUMAA NA PIA MUWA NA MWISHO WA JUMA NJEMA/MWEMA SANA..

12 comments:

ray njau said...

Hapo ni mtu kwao ni kwao japo hayupo kwao hakosi kukumbuka kwao japo kwao siyo kwao tena!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray kwangu/kwo ni kwao hata utembee kwokwote kule iko siku moja utarudi tu kwako..kumbuka msau kwao ni mtumwa...

Interestedtips said...

VYA KWETU TUVIKUMBATIE, VYA KWAO TUWAACHIE WENYEWE WAHANGAIKE NAVYOOOO

Yasinta Ngonyani said...

DADA MDOGO ESTER! NIMEPENDA MNO MNO ULIVYONENA..HONGERA SANA YAANI KAMA YLUKUWA MOYONI MWANGU..SAFIIIIIIIIIII SANAAA:-) IJUMAA NJEMA SANA.

John Mwaipopo said...

swali la kizushi. hivi mnavyoimbaga "ninapotaka mimi ni hapo tuu ..." mbona huwa 'hapo' hampafafanui?

Yasinta Ngonyani said...

kaka John "hapo" ina maana ni hivyo tu. kama ulivyo, hivyo hivyo...nielewavyo mimi.

Rachel Siwa said...

Mtu kwao da'Kadala, Asante kwa burudani mwanana...Yaani nipo hoi hapa kwa kusereeebukaaa,Wiki ijayo tunasubiri Chioda/kioda sijui kama nimepati, tongwa lisikosekane!!

Pamoja sana.

Wenu Kachiki mtoto mzuriiii

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta usisahau Mganda na Lipenenga ndugu yangu. Pia usisahau hata mbaqanga maana ni dugu moja.

batamwa said...

john mwaipopo hata mimi nilitakakuuliza mbona wanapataka hapoo tu!ni papi hapo?wapataje basi maana kanganganiatuuuu hapo wapi na ndio maana jamaa hampi maana hajapataja hapo!?uwe na wikiend njema mdada Yasinta ninakupenda kwa kupenda vya kwetu

batamwa said...

halafu salamu zangu ulizifikisha kwa MARLEANE?

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! Kwa ninvyokujua kweli upo nyangányangá..na wala usikonde chioda/kioda utapata tu...
Mwl. Mhango..nawe usikonde mganda utaupata ila hapa nina swali kama kawa kapulya:-mbaqanga ni ngoma gani?

batamwa! Ahsante kwa yote ..si unajua mtu kwao ndugu wangu..Salamu kwa Maelrne zilifika na alifurahi kweli..Kumbe ulikuwa wewe? Lakini kama nilivyosema umechelewa kiduchu....

Unknown said...

Post ya zamani ila nimeenjoy mziki hahhaha