Saturday, August 27, 2011

MAISHA HAYA...WIMBO HUU UMENIGUSA SANA...


JUMAMOSI NJEMA..!!!!

4 comments:

Simon Kitururu said...

Jumamosi Njema kwako pia!

Yasinta Ngonyani said...

Namshukuru Mungu kuwa nimeamka salama na natumaini nitaimaliza siku salama pi. Ahsante Kaka Simon:-)

Anonymous said...

Ni ushuuda mzuri wa maisha yake. kila mtu na alivyo andikiwa na mungu maisha yake yatakuwavipi,pamoja na jitihada zatu binafsi sisi wanadamu.njia unayo pitia mpaka kufika hapo ulipo,wewe ndo unajuwa.
haya jumamosi njema,usihofu utakuwa salama tu.
kaka s

Koero Mkundi said...

Kawimbo katamu kweli.ahsante dada........