Friday, August 19, 2011

NAMTAFUTA MDOGO WANGU KWA MAMA MWINGINE "HIARI" KOERO MKUNDI:- JE? KUNA ANAYEJUA WAPO ALIPO?

Ni muda sasa umepita tangu 24/6, mdogo wangu huyu sijamsikia wala kuona katika vibaraza vingine akitoa mchango wake.Si mwingine tena ni Koero Mkundi. Ninakumiss sana UPO WAPI? Je? kuna anayejua alipo. Koero, natumaini na naamini kwamba uko salama; na ukibahatika kusoma ujumbe huu tujulishe uliko koeromkundi.blogspot.com.


8 comments:

MARKUS MPANGALA said...

ha ha ha ha niliulizwa swali hili na mdau mmoja kule facebook. mdau yuko ughaibuni, akaniambia inakuwa dada yetu katoweka, nikabaki na kigugumizi. nashukuru leo mheshimiwa dada Yasita umeamua kuhoji na bila shaka mdau yule aloniuliza via facebook sasa anapata jawabu

Unknown said...

Jamani KOERO MKUNDI jitokeze basi hata kwa kupiga chafya tu.

Simon Kitururu said...

Nami nammisi mtoto huyu mzuri wa Mkundi!:-(

mumyhery said...

jamani kimya chako chatutia wasi wasi!!!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

kuna mtu atakuwa kamficha..nina wasiwasi na .....

Fadhy Mtanga said...

nami namtafuta sana mchumbaangu jamani isije ikawa Markus kamtorosha

Koero Mkundi said...

Ha ha ha haaaaaaa.... Hatimayeeeee
Chanda chema hivishwa pete dada...

MARKUS MPANGALA said...

ha ha ha haha ha ha hahaha ha ha USHINDI HUOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO