Tuesday, November 30, 2010

Tumalize mwezi na maswali haya Je? uliwahi kuzitumia hizi? ama kuziona tu?

Shilingi Mia moja
Na shilingi mia moja tena.
Penye wengi hapaharibiki kitu, ina wezekana ulitumia kwa kutumwa dukani... na labda kuna walioziona tu...!!!! NAWATAKIENI MWISHO WA MWEZI MWEMA:-)

1 comment:

ADELA KAVISHE said...

duuuh umenikumbusha mbali mpenzi nilikuwa mdogo nikipewa hiyo naona kama nimebeba laki