Tuesday, November 9, 2010

Dangerous - Must read..!!!

Habari hii nimetumiwa na msomaji wa Maisha na Mafanikio ebu soma na labda inaweza ikakupa mawili matatu. Sitaki kuwa mchoyo wa elimu:-) Picha hapo juu sio yenyewe ila nimeweka tu kama mfano.

A couple lost their 25 year old son, Arun Gopal Ratnam, in a fire at home on June 4th. The son who had graduated with MBA from the University of Wisconsin-Madison two weeks earlier had come home for a while. He had lunch with his dad at home and decided to go back to to clean up his hostel room.His father told him to wait, to meet his mother, before he went back for a few days. Arun decided to take a nap while waiting for his mom to come back home from work.

Some time later their neighbors called 911 when they saw black smoke coming out of the house.Unfortunately, 25 years old Arun died in the three year old house. It took several days of investigation to find out the cause of the fire. It was determined that the fire was caused by the lap top resting on the bed.
When the lap top was on the bed cooling fan did not get the air to cool the computer and that is what caused the fire. He did not even wake up to get out of the bed because he died of breathing in carbon monoxide.

The reason I am writing this to all of you is that I have seen many of us using our lap top while in bed. Let us all decide and make it a practice not to do that. The risk is real. Let us make it a rule not to use the lap top on bed or put the computer on bed with blankets and pillows around.

Please educate as many people as you can.

3 comments:

emu-three said...

Basi simu huku zimewalipukiwa wengi, na bahati nzuri hazijaleta masahibu makubwa. Na kwa vile hizo laptop wanaotumia ni wachache sana, kama ingekuwa asilimia kubwa wanazo tungesikia mengi, kwani umeme huku upoi kama presha ya kupanda na kushuka.
Na baya zaidi vifaa vingi toka China, na sijui wapi ambavyo watu wameenda wakanunua kwa bei yakutupa wanawaletea Watanzania wenzano wenye kipato kidogo, matokeo yake ni kuwa `uimara wake haupo' vikipata moto kidogo buuuu!
Twashukuru kwa tahadhari hii, sio kwa laptop tu hata simu...

Unknown said...

guess wht? Ni asubuhi na ndio kwanza nimeamka. Nikaona lap top pembeni mwa kitanda na kuivuta na kuiweka kitandani na kuanza kuitumia. Wakati mwingine hupitiwa na usingizi na kuiacha hapo hapo kitandani. Ni hatari!! Lakini mbona hata ukiiweka chini kwenye kapeti hadithi yaweza kuwa hiyo hiyo? Mimi nadhani baada ya kumaliza kutumia unatakiwa uhakikishe umeizima na ukiweza kuchomoa kutoka kwenye power ni vema na salama zaidi!!

Goerge olloo said...

nashukuru sana kwa elimu ilionipatia hata me nakuwa na tabia ya kufanya hivi nashukuru