Friday, November 26, 2010

Je umewahi kuona Maajabu haya hapa ni Njombe: Mwamba Wenye Ramani ya Afrika

Mwamba huu wenye ramani ya bara la Afrika unaitwa Lwivala, upo katika pori la hifadhi ya msitu Lwivala kijiji cha Igodivaha Wilaya ya Njombe, inaweza isiwe rahisi kuamini lakini huo ndio ukweli wenyewe. Picha kutoka Mjengwa.

7 comments:

Bennet said...

hii nimeipenda, kachora mungu mwenyewe

Koero Mkundi said...

Dada Yasinta hata Upareni kwa bibi Koero upo mwamba kama huo wenye ramani ya TZ!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Bennet yaani kabisa Mungu mwenyewe kachora hii!!

Koero Nikija itabidi unipeleke huko kwa bibi tukaone hiyo ramani iliyochorwa na Muumba mwenyewe au unasemaje?

chib said...

Ndio mastaajabu ya dunia hayo

emu-three said...

Ndivyo ilivyo, `ataonyeshwa kuwepo kwake katika sehemu mbalimbali,lakini bado tutamkana, kwa dhahiri au kwa matendo yetu wenyewe!
Ipi miti imekuwa nakutengeneza jina lake, wapo watoto wamezaliwa kifuani kuna jina la muumba,...watu aaah, eeeh,...kesho kesho kutwa kama hatujui!

Unknown said...

Upaereni hlo eneo linaitwaje? Nikitaka kufika

Unknown said...

Upaereni hlo eneo linaitwaje? Nikitaka kufika