Wednesday, November 17, 2010

Mwanamtindo wa wiki hii!!!!

Kuna watu watundu, napenda kumshukuru dada Mumyhery ndiye aliyeitengeneza picha hii nami nimeipenda sana na nimeona iwe picha/mwanamtindo wa wiki hii.

9 comments:

ADELA KAVISHE said...

kweli mamito picha imependeza kiafrika zaidi

Simon Kitururu said...

Umependeza!

Hivi kila kitu avaacho mtu sio MTINDO?

WA UKAE said...

mimi nilishaitolea maoni hii picha dadaangu, na ipo kwenye destop back ground yangu.Morning?

Unknown said...

Da Yas imetulia hii!! Kumbe Mummyhery nae mtundu!

George Olloo said...

kweli dada umependa kuwa mrembo wa wiki

Penina Simon said...

loking so cute, thx to lord to have u

frozia adinani said...

Dada yasinta hivi unapatikana wapi mimi nataka nikuone tuongee japo mawili matatu kama huta jiali mimi naishi Dar maeneo ya tabata nafanya kazi samora evenue.
Siku njema

Anonymous said...

Fascinating knowledge, may I use a part of it in my website?

Anonymous said...

Jocul nu exclude efortul, oboseala, caracterul serios. Un copil distress nu se joaca nu este un copil normal, iar viata sa ulterioara, de adult, va avea de suferit. Dimpotriva a folosi jocul, adaptat formelor trafficking exterioare la scopuri educative precise, inseamna a canalize in scopuri benefice una din energiile cele mai profunde ale copilariei.http://www.jocuri-avioane.com