Friday, November 26, 2010

Ijumaa njema!! UHURU, hivi ni lini mtu anakuwa huru???



Wimbo huu kila nikiusikiliza napatwa na furaha lakini pia napatwa na huzuni kiasi kwamba natokwa na machozi. Sijui wenzangu pia mnajisikia hivyoo:-( HATA HIVYO NAWATAKIENI MWISHO WA JUMA MWEMA !!!!!!!

5 comments:

Simon Kitururu said...

Ijumaa njema kwako pia MDADA!

Unknown said...

Ahsante sana Da Yas na wewe twakutakia Ijumaa njema...

emu-three said...

Heri na mimi niseme, IJUMAA NJEMAA MDADA...Mhhh,mdada...!

Albert Kissima said...

Mtu huwa Huru pale tu anapotenda haki na kutendewa haki kwa kadiri ya jamii husika inavyoamini kuwa ni sahihi.

Ijumaa njema na kwako Mama wa "Maisha na Mafanikio"

mumyhery said...

shukran ijumaa njema na kwako pia!!!