Saturday, November 27, 2010

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO!!



Halafu angalia/sikiliza na hii hapa kaaazi kwelikweli

7 comments:

Koero Mkundi said...

Nakutakia week end njema dada

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Koero nawe pia uwe na wakati mwema:-)

Bennet said...

Fataki ana maeneo matamau na mazuri eti atamwekea mwalimu wa tuition nyumbani

Fadhy Mtanga said...

halafu kwa nini Fataki huwa hafanikiwi jamani?
ahsante da Yasinta kwa ujumbe.

Unknown said...

Ahsante da Yas kwa ujumbe mwanana.. Wikiendi njema

Mwanasosholojia said...

Ujumbe maridadi da Yasinta,shukrani!

Rachel Siwa said...

hahahha Fataki ushindwe!Aksante da Yasinta.