Saturday, June 20, 2009

NYIMBO ZETU (ZA TAIFA LETU LA TANZANIA)

Mungu ibariki Tanzania


Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote


2 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mi naupenda huo wa pili Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Ingekuwa ni uamuzi wangu, ningeufanya wimbo rasmi wa taifa.

Simon Kitururu said...

Nyimbo kama sala halafu eti Tanzania bado masikini!:-(

DUH!:-(