Sunday, June 28, 2009

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA

NAWAOMBEA
Nawaombea Yalo Mema
Kwa Usiku Na Mchana

Ziwaepuke Lawama
Kwa Watu Wenye Hiyana

Awajaalie Ukarimu
Kwa Nia zenu Njema

Awaepushie Lawama
Binaadamu Siwema

7 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Nasi twakutakia Jumapili njema. Uwe na wakati mzuri na furahia mwisho wa wiki na familia yako.
Wasalaam

chib said...

ahsante sana, nawe jumapili njema

Born 2 Suffer said...

Amina ya rabi 2 u too.

mzee wa matukiodaima habari bila uoga said...

Pia twakutakia jp njema na lakini nitapata faraja sana kama tukajiwekea utaratibu wa kutakiana na kheri kwa kusaidia yatima na wenye shida katika maeneo yetu hapo vipi?

Nicky Mwangoka said...

Asante sana kwa sala, na kweli Jumapili ilienda vizuri kwangu, sijui wewe

mumyhery said...

shukran

Yasinta Ngonyani said...

Asanteni wote nami pia j´pili yangu ilikuwa njema kabisa. Namshukuru Mungu nimeamka salama leo J´tatu wiki nyingine.