Saturday, June 13, 2009

KAAZI KWEELIKWELIII!!!

Hii sasa kali
Kwa nini kukodi gari ulipe nauli yako, ulipie na mzigo pia????

3 comments:

Simon Kitururu said...

:-)

EDWIN NDAKI (EDO) said...

ubebaji mbuzi katika stahili hiyo ni kutesa kiumbe huyo ambaye kimaumbile hakupaswa kubebwa kwa stahili hiyo..

chib said...

Mambo ya ubunifu hayo!!