Friday, June 19, 2009
HAPA SWEDEN LEO NI MIDSUMMER(MIDSOMMARAFTON)
HISTORIK
Traditionen kam från Tyskland på 1500- 1600 talet.
Seden var först förknippad med förstamajfesten.
Ordet majstång kommer av att man lövade (majade)sina hem
Flyttades från maj till midsommar av klimatskäl.
Nitajaribu kutafsirikwa kiswahili:-
KIHISTORIA KUHUSU HII MIDSUMMER NI HIVI:-
Kihistoria, mila na desturi hii imetokea Ujerumani karne ya 1500 - 1600.
Mila hii inauhusiano na sikukuu ya wafanyakazi
Neno Majstång linatokana na au niseme, watu hapo zamani walikuwa wanapamba majani kwenye nyumba zao.
Kwa hiyo wakaamua kuacha kusema (maj) na kusema (midommar)"midsummer" kutokana na hali ya hewa.
Labda niongezee ni hivi wengi walikuwa wanaamini kuwa kutokana na idadi ya hiyo miviringo inaonyesha watoto wangapi wamezaliwa kwa mwaka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Mimi ni mpenzi sana wa historia za miji na jamii, nimefurahi sana kusoma habari hii, lakini mbona sasa tupo karne ya 21 tu! Au ni karne za kabla ya Kristo. Niweke sawa rekodi zangu zisichuje kwa watu
Post a Comment