Wednesday, April 13, 2016

LEO TUELEKE MBINGA KUANGALIA MAENDELEO YA UJENZI YA NYUMBA/KIBANDA YETU/CHETU


Ile nyumba/kibanda yetu ya Mbinga imefikia hapa na hata mazingira  sasa yanaanza kupendeza hapo tumejaribu kupanda mahindi na viazi vitamu/mbatata ...safi eehh:-9
 Na hapa ni migomba ya ndizi ...Karibuni tutaongea mengine hapa.
Mazingira yanazidi kubadilika kila siku ziendevyo...hapa ni mbogamboga ...za maboga..Tutaendelea kufuatilia maendeleo ya Nyumba/kibanda hiki...

6 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Hongera da Yasinta. Umenichokoza. Lazima nami nifanye hima niweke tubanda twetu soon. Bado mna safari ndefu kuikamilisha. Kwani sijaona parking lot, maua, servant quarters na madoido mengine. Kazaneni sana mmalize kila kitu.

Salehe Msanda said...

Hongera kwa kukumbuka kuboresha maeneo ya ulikotoka
Kila la kheri.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango...Ahsante sana ...nimefurahi kuona umechokozeka napenda watu kama wewe:-) ...ni kweli bado tupo safarini huo ni mwanzo tu si safari ukishaianza ni lazima uendelee....

Kaka Salehe...Ahsante si unajua kwangu ni kwangu hata kukiwa porini!

Nicky Mwangoka said...

Ama kweli "Home sweet Home" Hongera sana dada kwa hatua hiyo

ray njau said...

Hongereni na Mungu awabariki sana.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka Ray kwa baraka zako nawe ubarikiwe sana na Mungu kwa kupita hapa na kuacha yako ya moyoni....