Friday, April 15, 2016

IJUMAA YA LEO:- NIMEKUMBUKA/TAMANI MLO HUU NDIZI KWA NYAMA....

 Nimekaa hapa nhuku nikikumbuka chakula hiki NDIZI NYAMA/NDIZI KWA NYAMA  ni moja ya vyakula vya asili nivipendavyo sana ukiacha samaki kwa ugali:-) IJUMAA NJEMA NDUGU ZANGU!

2 comments:

ray njau said...

Ni mlo rasmi uchagani.
Asante kwa kunipeleka huko kwetu kupitia blogu yako.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! basi itabidi nihamie uchagani maani hiki chakula nahisi kuwa na udhaifu nacho...